Breaking News

Msanii wa taarabu Khadija Kopa alilia kupata mume mwema

''Nahisi bado riziki haijasimama kwa mwenyezi Mungu mimi kuolewa tena, kwa sababu namuomba Mungu anipe mume mwenye heri, mwenye baraka, nisipate mume mwenye kunitesa na umri huu tena nilionao, nipate mume kama yule au mwenye kumzidi mme wangu, kwahiyo ndio maana nimekaa kwanza lakini najua ipo siku mwenyezi Mungu atanisimamishia na kunipa mume mwenye kunipenda zaidi'' - Khadija Kopa



No comments