Read a hot story,Pacha wa Shetani.
PACHA WA SHETANI
IMEANDIKWA NA Dullah Mwana Wa Maajabu
UTANGULIZI
Hapo mwanzo Dunia ilikuwa ni sehemu ya amani na furaha.Ambapo inasadikika kuwa MUNGU MUUMBA baada ya kuiumba kwa ufasaha akaikabidhi kwa baba yetu ADAM.Baada ya kuumbwa na kukabidhiwa ADAM, Mumba akamleta kiumbe mwengine ambae ni MAMA YETU HAWA.
ADAM na HAWA waliishi humu ulimwenguni mpaka pale SHETANI alipokuja na kuwapa majaribu na kuwafanya wakawa ni wenye kufukuzwa kwenye rehema za MUNGU.SHETANI huyu alikuwa ni kiumbe miongoni mwa viumbe walopendwa na mungu.Lakini alikuja kumchukiza MUUMBA wake baada ya yeye kumuasi MUNGU baada ya kushindwa kimpa heshima ADAM. SHETANI alijiona yeye ni bora kuliko ADAM.
MUNGU anasema kupitia vitabu vyake vilivyokuja na mitume wake kuwa "HAKUNA MBORA ULIMWENGUNI ISPOKUWA YEYE TU MUNGU" .Kwahiyo baada ya shetani kujiona mbora, basi akafukuzwa kwenye rehma za mungu.Akaapa SHETANI hatokiacha Salama kizazi cha ADAM mpaka Ahakikishe wapo wanaomfuta yeye SHETANI.
Na Kweli kwenye Dunia ya leo SHETANI amewapata wafuasi wengi, kiasi kwamba mpaka wapo wengine wamefikia kufanana nae SHETANI.Hao viumbe ndio huitwa PACHA WA SHETANI.......

No comments